Habari wana JamiiForums
Nilikuwa naomba kujua viwango vya mishahara kwa watumishi kada wa afya ngazi zote za Degree. Diploma ya environmental health science
Au chanzo cha kupata taarifa nisaidie
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2013 PCB.
Nikapata EED na form four nilipata div 2 ya 21. Sasa nilikuwa nafikiria kusoma diploma ya ENVIRONMENTAL SCIENCE pale MUHAS.
nilikuwa naomba kujua kuhusu ajira na mshahara kwa ngazi ya diploma na jee kati ya environmental health science na...
mi mwenyewe mmoja nna wahanga na jana nilikuwa tcu,wakichonambia wanasema watu wakioapply ni wengi sana mara tatu ya mwaka jana na mtandao umewatema wengine...so haijaliahi ulikuwa na point ndogo au nyingi......TCU majanga jamaniii...diploma inanihusu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.