Umejuaje kama mbowe hafai? we umetumwa wewe! Unataka Dr Slaa na Prof Lipumba wagombee urais mara ngapi? kwa njni tusimpe lowasa agombee urais ili tuone kama wananchi wanamtaka? maana unaonewa kwenye kura za maoni kama walivyofanya ccm!
Mleta mada akili haijakaa vizuri, ina maana ccm hamna mtu mchafu?mbona juzi juzi tumesikia nape wamekamatwa na rushwa? au hauna macho nini? we jinga kabisa wewe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.