Ndugu waandishi habarini, kuna kero inatukumba
Ni kivipi nauli za mwendokasi zimeongezeka kwa TSH 750 zaidi? Mwanzoni nauli ilikuwa 750 kimara-kivukoni/gerezani ila kwa sasa nauli ni TSH. 1000, wakati huo huo nauli ya Mbezi-Gerezani/kivukoni ilikuwa TSH. 1250 ila kwa sasa ni SH. 2000
Nani yuko...
Unaongelea kipind cha mvua maji yanapatikana? Kutoka wap? Sio dawasa tunayokaa miez 3 bila maji na ni kipindi cha mvua?
Acha uswahili na siasa kwenye vitu serious
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.