Recent content by JohnAM

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mota za mashine ya kusaga na kukoboa

    Ni kijana nataka kufanya biashara za nafaka mashariki mwa DRC naomba ushauri wa kupata mortar na mashine za kusaga na kukoboa. Na makadirio ya garama na mapato ahsanteni.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba mnishauri wa gharama za uwekezaji kwenye aina hii ya biashara

    Naombe I ushahuri, mimi nikijana nataka kufanya biashara ya kusaga na kukoboa mahindi nchini Kongo je gharama zake zinaweza kuwa haje, na je inalipa?
Back
Top Bottom