Recent content by john vikindu

  1. J

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Mahakama yamuachia huru Yusuf Manji katika kesi ya dawa za kulevya iliyokuwa ikimkabili

    hii ni kitambulisho kinachofafanua dunia yetu leo sisi ni furaha zaidi kuliko hapo awali, na hata licha ya mchango mkubwa kwa wilaya yake na uchumi,wagonjwa na mwanafunzi, wa baadhi ya kampuni yake anaweza kusimamia vita vya propaganda dhidi ya mfanyabiashara mwenye busara kama yusuf manji
  2. J

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Mahakama yamuachia huru Yusuf Manji katika kesi ya dawa za kulevya iliyokuwa ikimkabili

    yanga imefika hapa kwa sababu ya manji aliwekeza sana pesa na kununua wachezaji wapya na wazuri..Hongera sana kwa timu bora naamini atazidi kutusaidia.
  3. J

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Mahakama yamuachia huru Yusuf Manji katika kesi ya dawa za kulevya iliyokuwa ikimkabili

    Afadhali amesaidia familia za wengi, kuachiwa kwake ni neema kwa wengi
  4. J

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Mahakama yamuachia huru Yusuf Manji katika kesi ya dawa za kulevya iliyokuwa ikimkabili

    Bila shaka ameshinda, wasingemuachia kama angekuwa na hatia
  5. J

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Mahakama yamuachia huru Yusuf Manji katika kesi ya dawa za kulevya iliyokuwa ikimkabili

    Nadhani ameshinda na hii inaonyesha uhuru wa mahakama
  6. J

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Mahakama yamuachia huru Yusuf Manji katika kesi ya dawa za kulevya iliyokuwa ikimkabili

    Kwa Moyo mmoja napenda kuwashukuru sana kila mmoja ambae amesimama na mimi, familia yangu, familia yangu kubwa ambayo ni wafanyakazi wangu wa kampuni na nchi zote, washirika na wateja katika kipindi hiki kigumu. Ninaimani, natoa pongezi, ninaheshimu na kutii sharia za nchi na mamlaka ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hit squad: Picha imekamilika kuchorwa

    Duh
  8. J

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    hapana chezeaaaaa
Back
Top Bottom