Recent content by John Sayi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Haya ndio matokeo hasi ya kutokuwa na Bunge mubashara. Aibu sana kwa wanaoonekana pichani

    Usidhani kwamba hawasikii kinachoendelea, subiri ikifika kupitisha hoja utawasikia wote wanaitika NDIYOOOO!! Hapo ndo nnapowakubali waheshimiwa hawaangushani hata kidogo!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mtego aliotegewa Abdul Nondo na "watekaji" wake,hauna tofauti na ule wa Odwang Odwaa mwanafunzi Mganda UDSM

    Aisee umenkumbusha kipindi hicho UDSM. Huyo kijana wa Uganda alikuwa mtata sana. Mi sikufahamu aliondokaje chuo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    Kwa sheria ipi? Kweli ukiitawala NJAA utaheshimika!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Patrobas alitaka fursa gani CHADEMA?

    Ukiitawala njaa utairuhusu akili yako kufanya kazi sawasawa.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya watumishi kuahidiwa kupandishiwa madaraja na mishahara, CHADEMA matumbo joto!

    Ongezeko la mishahara haliwezi kuwa la watumishi 60,000 tu. Hapo atakuwa aliongelea kupanda madaraja kitu ambacho kimsingi kila siku watumishi waliopo hasa maeneo yaliyo na madaraja wanapanda. Labda kama angeongelea kupandishwa kwa vyeo vya watumishi. Lakini pia mimi nilisikia neno mwezi ujao...
  6. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Wanasiasa wanakamatwa kwa makosa yao

Back
Top Bottom