Recent content by John Reese

  1. John Reese

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi, unapomuambia muomba ajira akahakiki vyeti kwa mwanasheria maana yake hizo taasisi haziaminiki?

    Naona ni siasa tu , kama ishu ni ku-certify true copy of the original,,what if uki upload cheti original chenyewe? Wont it be valid?!
  2. John Reese

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Wakuu inachukua muda gani kuitwa interview baada ya application
  3. John Reese

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    taratibu tu tutaelewana, anaeleta ubishi system itamreject
  4. John Reese

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Asante mkuu, ngoja tujiandae na mkando😂
  5. John Reese

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Barua rasmi anasaini mwandishi, kwa msisitizo uliowekwa hapo yawezekana kuna utaratibu tofauti ,ndio maana nimeuliza mkuu. Kujua ABC za kufanya application zisikupe kibri na kujiona umetoboa
  6. John Reese

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Samahani mkuu ,wanavyosema barua iliyosainiwa, inamaana isainiwe na nani?
  7. John Reese

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Mkuu kosa la kutosign barua! Kivp yani ? Unaeza elezea vizuri hapo
  8. John Reese

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

    Tafuna majani ya mkaratusi mkuu, utanishukuru badae
  9. John Reese

    JamiiForums Tanzania Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Wakuu najaribu kufungua account taesa kwa kutumia gmail inagoma,,mwenye uelewa wa namna nzuri ya kufungua account naomba anielekeze tafadhali 🙏🙏
  10. John Reese

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa bei poa

    Punguza ujuaji dogo
  11. John Reese

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa bei poa

    Nimeshaiuza mkuu.
  12. John Reese

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchongo wowote halali, nipo Mwanza

    Mkuu kiwanda kimeshaanza kazi au wanapiga kazi za ujenzi?
  13. John Reese

    JamiiForums Tanzania Elimu ya form four iongezwe masomo zaidi, kuna maprofesa hawajui umuhumu wa kusoma topic electrolysis na electroless

    Msomi tulia uandike vizuri. Kujua theory nyingi hakufanyi elimu kuwa bora mkuu
Back
Top Bottom