Unadhani kutokana na kuwepo kwa changamoto ya masoko kwa bidhaa pamoja na mazao kwa wakulima Tanzania nini linaweza kuwa suluhisho ukiachana kuilaaumu serikali je unaona vijana wana nafasi gani hapa
Je, unadhani ni fursa zipi amabzo vijana zinawza kuwapa uhakaika wa kujiajiri hadi kufikia 2050 zitakuwa bado sustainable ukijumuisha mabadiliko mbalimabli yanayoweza kujitokeza katika uchumi, siasa, teknolojia, elimu, mazingira na kadhalika
Ni sahihi unacho sema kihusu global finance but jua no one is knowing what happens 100% hwa broka wengi huwa wanafanya link na kutuweka retailers kwenye interbank positions ni kweli hakuna biashara ya kunua fedha kma unavyo nunua bidhaa kama tunavyo elezwa ila we deals with those equivalent...
OK unamana MT4,MT5 hapo nimekupata kwani ni vyema kuchagua broka mara nyingi hizi tunatumia kama platforms ila broka naweza kuwa pembeni ya hili na broka ndiye anaye shika pesa zako na sio hiyo platform hivyo kusma kuwa forex kunamatapeli haimanishi kuwa haipo kabisa na watu wangi ukiwambia...
Unaweza jifunza upya forex ina exists ila ni kwamba matapeli wamekuwa wengi ndo maana naona huamini kusuhu hwa broka kuna vigezo vya kumpata broka bora na wa uhakika achana na mabroka ambao hawaja kizi vigezo the fanya forex kama kazi ya msingi I've muda the jifunze kwa walio fanikiwa tena...
Wewe ni kama unatukana BOT wanaotoa leseni kwa mabroka na kama ulipigwa ni ww so just freeze..... inaonekana kuwa hukujifunza kuhusu hii biashara vizuri ulingia kwa kurupuka remember hakuna mafanikio ya haraka
Wewe ulijifunza just intro ukaweka pesa nyingi kwa mkupuo huna knowledge ya kutosha ukapigwa ume taja mt4 ukanionysha kuwa bado hfahamu hili swala kwa undani so Acha wanao fahamu wa trade
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.