Recent content by John Mtui

  1. John Mtui

    Raisi wa 2015 atoke Zanzibar

    Nawashauri CCM wasije wakafanya kosa la aina hiyo. Hakuna Mtanganyika mwenye akili timamu atakaye mpigia kura ya urais Mzanzibari, hata kama akishindanishwa na jembe na nyundo kama ilivyokuwa enzi za mwalimu. Wakifanya kosa hilo tu, Slaa ameingia ikulu kwa kishindo
  2. John Mtui

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    N wewe uwe na akili; Kwani aliyefukuzwa si alikuwa ni Injinia, mbona na yeye anatuumiwa wizi. Mwizi ni mwizi tu, hakuna cha kuwa injinia wala nini. Wanaokuja majumbani kusavei wakaandika nguzo moja badala ya kumi si ni mainjinia? wanaokuja kuweka vingamuzi viwandani ili viwanda viibe umeme si...
  3. John Mtui

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Hapa Ubungo, watumishi wa Tanescu wamegawana nyumba za kuchakachua, ikiwemo nyumba niliyopanga. Alikuja kijana mmoja wa Tanescu akapanda Darini, akwaweka kitu fulani halafu akato waya akauleta ndani ya nyumba. Akapewa 200,000 halafu baadae akawa anakusanya 50,000 kila mwezi. Ana agent wake ambae...
  4. John Mtui

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais na Wabunge wote wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwanza niipongeze sna serikali ya Mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kazi nzuri wanayofanya. Nashukuru sana Mh. Rais wewe binafsi na serikali yako Katika kujaribu kurekebisha uozo uliopo katika mashirka...
  5. John Mtui

    Watanzania tuchangie kuboresha katiba yetu

    Ndugu zangu Watanzania Tunajua kabisa kuwa hii ni nchi yetu na ni vizuri tukasema tunavyotaka iwe vinginevyo watu wachache watatusemea wanavyotaka iwe, mwisho wa siku tutakuwa tunalamika tu kuwa hatukutaka iwe hivi. Tunamshukuru Rais wetu Mh Dr Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutupa nafasi hii ya...
Back
Top Bottom