Recent content by JOHN MBOYA

  1. J

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Fisadi ni wewe na jamaa zako
  2. J

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Ananilea Nkya kuhusu hotuba ya Dr. Slaa

    Unatakiwa umueshimu kila mtu bila kujali jinsia.dini.ukabila na ukanda .Ukiona mtu anaongelea ukabila ukanda.matusi mtu huyo ameshindwa hoja
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanaohama CCM wanasaka madaraka ili kulipa madeni

    Unalipi jipya utuambie watanzani?'sio unapanda kwenye jukwaa unaleta maneno yaleyale siasa zilezile.Waambie Watanzania ukweli' na wakiujua ukweli utawaweka huru .Unasema wanakimbilia ikulu wakalipe madeni Ikulu kunabishara gani? Embu tujuze bana kabla hatujafanya maamuzi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ufisadi na Rushwa Tanzania, Lowassa anaonewa

    - Je, wakati fedha za Mkonge kupitia mfanyabiashara aitwaye CHAVDA zinaibiwa Lowassa alikuwa waziri mkuu? Alikuwa malecela!. - Madini ya dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa ndege wakati wa Rais Mwinyi yalikuwa ni madini ya Lowassa? - Wakati Akasha wa dawa za kulevya anakamatwa na kutoroshwa...
  5. J

Back
Top Bottom