Kuna msemo aliwahi kuusema rais wa awamu ya pili mzee rukhsa wakati ule timu yetu ya Taifa ilikuwa inafungwa ovyo,mzee mwinyi akasema Tanzania imekuwa kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa,maneno hayo ndio nami nayasema maana kumekuwa na kasumba ya watawala wetu kupeana uongozi...
Sijafulahia kitendo cha mh zitto kupeleka masuala ya chama mahakaman,kimtazamo atakuwa amejenga taswira mbaya kwa wanachama wenzake,alipaswa kuiamini kamati kuu maana alishatoa utetezi wake,kitendo cha yeye kwenda mahakaman naimani kutazidi kuongeza chuki kubwa kati yake na kamati kuu.chadema ni...
zimebaki siku sita tumalize mwaka ukiwa kama mzalendo kwa nchi yako umeona jinsi serikali hii ya ccm ilivyochoka,imeshindwa kubuni vyanzo vya mapato,kila kukicha inaluhusu bei ya umeme kuzidi kupanda na kuwaongezea mzigo wananchi wa kipato cha chini,imeshindwa kushusha bei ya mafuta na kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.