Recent content by John Makune

  1. J

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa Hydroponic fodder Dar es salaam

    Ideally, Hydroponic fodder unaotesha mwenyewe rather than kununua, lakini labda unachohitaji ni ile rack ya kuwekea, containers za kuoteshea na barley ama nafaka utayotumia, kisha maelekezo ya ulowekaji, umwagiliaji na uvunaji ndani ya siku 7/8 kama miongozo inavyoonesha.
Back
Top Bottom