Kasome.
Mw 2 6:8
Ibimeleki mfalme wa wapalestina(wafilist )
Ikawa alipokuwa amekaa huko siku nyingi, Abimeleki, mfalme wa Wafilisti, akachungulia dirishani, akamwona Isaka anacheza-cheza na Rebeka mkewe.
And it came to pass, when he had been there a long time, that Abimelech king of the...
Huyo hakuwa kiongozi ndugu uongozi ilikua wa waingereza alikua anaongoza jumuia ya waislamu na kuuteuliwa kuwa mufti Kama hapa kwetu wakati ikiitwa Tanganyika
Sheikh Hassan Bin Ameir
Sheikh Hassan Bin Ameir (Mtegani, Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, 1880 - Michenzani, 1979) alikuwa mwanazuoni...
Imw 26:8
kawa alipokuwa amekaa huko siku nyingi, Abimeleki, mfalme wa Wafilisti, akachungulia dirishani, akamwona Isaka anacheza-cheza na Rebeka mkewe.
And it came to pass, when he had been there a long time, that Abimelech king of the Philistines looked out at a window, and saw, and, behold...
Imani ni Jambo binafsi halichangiwi na yeyote kua unacho kiamini
Ushahidi wa maandishi Una mchango lakini si lazima uaminiwe
Maandishi unayo yaamini wengine hawayaamini
Kunavitabu vingi kila kimoja kikimuhusisha MUNGU Kwa uchache
Vya wayahudi
Vya wakristo
Vya waislamu
Vya wabudha
Nk
Kila mmoja...
Inawezekana hayo maoni yake
Tanzania ya wakoloni(Tanganyika)
Ilikua na dini zenye waumi wengi ni
1 wanaoabudu dini za jadi(upagani)
2 waislamu
3 wakristo
Kundi la wapagani( waamini wa dini za jadi) walipo amini waligawanyika
Wengi walielekea ukristo hasa wa bara
Hivi si sita shangaa kusikia...
Hawa si wametukatia msaada kalibu yote mbaya zaidi magonjwa mkubwa wamepata baada ya miezi 7 ijayo kama bila nguvu ya MUNGU tutakua na majanga
Chonde chonde viongozi wetu wasikubali kutuletea mzigo tubebe wakati mzigo yetu hawataki kutusaidia
Viongozi kumbukeni. Walivyo tufanyia
Ni wabinafsi mno
Suala lenye mazingira ya kuamini ni suara binafsi
Imani hailazimishwi unacho amini wewe mwingine hakiamini
Imani hujengeka kwenye ushawishi au ushahidi wa matukio yasio ya kawaida(miujiza)
Vita hivi vya Russia na Ukraine imejaa
Upenzi ushabiki na kuamini
Pro Russia na Pro America
Kila moja na upenzi wake anaamini wamepata mafanikio
Wasiio upande wao ni losers
Trump kawaunga pro Russia kumpenda sio pro America
Bali hatamsaidia Ukraine hivyo atashindwa Russia ataibuka kidedea...
Lakini mwaka huo 2022 Ukrain asilimia kubwa ilitwaliwa mpaka na mji wao mkuu ulikaliwa viongozi akiwemo na zele walikua katika mpango maana yake kama wangekubali kusinge kua na haja ya mazungumzo Kwa kua Kyiv angekuwepo pro Russia
Maamuzi waliyochuku hao nchi ndogo kupigana na dude
naweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.