Recent content by JOHN LENOX

  1. J

    JamiiForums Tanzania Watangaza nia wa CCM wamejisahau kama wao ni watawala

    Mimi naona hawa ni wapinzani, kama vile hawapo serikalini. upinzani wataongea nn kama wao ndo hivi?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa "Sasa amueni Sitaki" Umetegwa Na Umekubali Kutegeka...Urais Tena Bye Bye!!!!!!!

    very intelligent. good presentation. nimekuelewa vilivyo.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Chama cha Kilaghai Tanzania...

    Sijaongelea CHADEMA mimi. Anger normally makes people blind. Did you know that?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Chama cha Kilaghai Tanzania...

    Mavi gani tena ndugu wakati tayari tuko kwenye dimbwi la mavi? Tunachotakiwa ni kutoka huko.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Chama cha Kilaghai Tanzania...

    Ndugu zangu chonde chonde, kwa mtu yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii, hawezi kuwa mstari wa mbele kudidimiza upinzani, ili kuwe na nidhamu kwa walioko madarakani ni lazima Kuwe strong opposition side. lakini kwa akili za baadhi yetu yuko radhi upinzani ufutike, then niwaambie tu ukweli kuwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Chama cha Kilaghai Tanzania...

    Sasa kilio cha nini kama haukipendi CHADEMA, it's simple, achana nayo. Kwani umelazimishwa kukipenda?
Back
Top Bottom