Waweza kuthibiti mtumishi yeyote utakavyo ila si Mwalimu, ukimlazmisha kuingia darasani ataingia tu ila utaelewa baadae kaenda kufanyaje.Walimu wa serikali hutumia 10%tu ya taaluma Yao nyngne ni ktk mambo mengne ya kujikimu kwa kipato. Mtasema Sana tu.
Siku za mwisho injili itahubiriwa kila kona,ni unabii unatimia tu,iko siku utatamani kusikia hizo uziitazo kelele haitawezekana,,SUBIRI TU MUDA WOWOTE UTAKUWA SHAHIDI,Maana kelele za mlevi si kero kabxa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.