Recent content by John 001

  1. John 001

    Looking for a Tanzanian Host in Nairobi

    Hello members, I am expecting to travel from Dare Salaam to Nairobi soon, the purpose of moving is hustling.But I have no one that I know in the city..If there is any Tanzania living in Nairobi and would like to guide me or be my host ..I will be thankful. No worries I am capable of taking care...
  2. John 001

    Mrejesho wa biashara ya nafaka na elimu niliyoipata

    Nipe somokuu umefanyaje na mim nataka jifunza mkuu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  3. John 001

    Mtaji wa laki 4

    Ndugu unajua Camera shiling ngapi? kumbuka ndugu yetu ana laki 4
  4. John 001

    Kwa mtaji wa laki 5 nifanye biashara gani?

    Asante sana ndugu kwa mawazo yako...mimi niko Daresalaam
  5. John 001

    Kwa mtaji wa laki 5 nifanye biashara gani?

    Asante sana ndugu nahitaji mawazo kama haya mwenyew sidhamirii faida kubwa ila nataka biashara nzuri inayoendana na mtaji wangu kwa hapa mjini hata nikipata faida 50000 sijali Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  6. John 001

    Kwa mtaji wa laki 5 nifanye biashara gani?

    Ndio mkuu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  7. John 001

    Kwa mtaji wa laki 5 nifanye biashara gani?

    Ndugu wadau mimi niko Daresalaam nina mtaji wa laki 5 tu..na sio mzoefu wa biashara kabisa ndugu naombeni mawazo, staki kukurupukia biashara naomba mawazo kwa uzoefu wenu ndugu wadau nifanye biashara gani?
Back
Top Bottom