Recent content by Joh Makini

  1. J

    Niki wa Pili unabonga sana

    Time i'll say to all haters
  2. J

    Ney wa Mitego aamua kujianika wazi katika video ya MR NEY

    Sidhani kama ana uwezo wa kuingia pande hizo,sema anachokifanya ni kutafuta kick ya kumfanya aonekane ka mantain game for long time ila siku zote huwa nasema mziki wa Bongo mgumu sana unahitaji uwe very creative cause every time game linachange,artist wanakuja wapya wenye hasira.Siku hizi hata...
  3. J

    Wasaniii wenye vipaji Tanzania ila hawajui kuvitumia ipasavyo-part 1

    Haaaahaaa! Wack mission Tanzania bhana list imejaa wabana puaaaaaaa
  4. J

    Joh Makini unatia aibu

    Siongei sana but time will say nimevikwa crawn na watu wa mitaa ndo maana siko kama hao mnaowajua WEUSI daily hatufuati sijui nani anafanya nini sijui game limekuwaje.Nimefungua account Jf special kwa hii thread ya huyu mbulula narudia tena MUDA NDO UTAKAOSEMA ila kwa Mwamba mtangoja sana,kwa...
  5. J

    Katibu wa act kigoma awekwa rumande( jela)

    Hakuna watu nisiowapenda kama wasanii Wa Kigoma Elimu hawana,wafupi,washilikina ah!
  6. J

    Joh Makini unatia aibu

    Haters leave my life,mamako,dadako,shangaziako wanatamani kuwa na bwana kama mimi Hunijui vizuri na wala sibishani nawe maana si wa kask hatubishani kwa maneno tu ila kwa.....
Back
Top Bottom