Recent content by JOFRE

  1. J

    CCM Kutokumwalika Mh Zitto ni unafiki wa hali ya juu!

    Ugopa bangi za mbeya unalewa mpaka bwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii utumbo tu!
  2. J

    Dr. Kitila Mkumbo, Professa J kunogesha Kongamano la BAVICHA

    Nashukuru Dr.kitila kwa moyo ulio nao kwa kuungana na majembe kukijenge chama haya ndio tunayo yataka wana CDM.
  3. J

    CHADEMA wanamwogopa Mwigulu Nchemba kuliko kitu chochote

    Nchemba hana hoja hana lolote,yeye ndo anaiogopa chadema mana mda wote anaifikiria nakuanzakuongea pumba na matusi.
  4. J

    Zitto Kabwe: Anne Makinda adhibitiwe, nchi yetu itaumia

    Jamani naomba muweke namba ya spika na Naibu ili utwapigie kwamba hatuna imani nao
  5. J

    Mpambanaji Tundu Lisu Kuwasha Moto live Songea Bombambili

    Pia ameongeza kwa kusema maandalizi ya uchaguzi ni sasa,hata ivo tumechelewa mana ilitupasa tuanze mara tu baada ya uchaguzi mkuu 2010 wanachama wa chadema waachane na fikra potofu mana kazi iliyopo mbele wa kuwaondoa madarakani hawa magamba sio kazi ya kitoto.
  6. J

    Mpambanaji Tundu Lisu Kuwasha Moto live Songea Bombambili

    Asema endapo wananchi wa Songea na Namtumbo wataruhusu uchibwaji wa Uraniamu itawang'alimu maishani mwao na vizazi vyao mana madini hayo ni hatari sana.
  7. J

    Mpambanaji Tundu Lisu Kuwasha Moto live Songea Bombambili

    Nipo mkutanoni na Mh.Tundu Lisu,aichana makumbusho ya Songea asema ndani ya makumbusho hayo yanamuenzi Gama nasio wazee walio pigana vita enzi hizo,Kitu ambacho sio kizuri.
  8. J

    Anachokifanya Docta Slaa sio fair

    Pole sana kaka hata yesu kristo alikuja kukomboa walio angamia nasio walio okoka,so dr.slaa kwenda vijijini ambako ndio ngome ya ccm yuko sawa kabisa.
Back
Top Bottom