Mimi niko kwenye hali mbaya sana kiuchumi kwa sasa.
Usiku wa kuamkia leo nimeota kuna pesa nilikuwa naziiba sehemu na kuzifungia kwenye begi langu..kisha begi nikaenda kulificha kuchaka mbali kidogo na nyumbabi.Ghafla yalikuja mafuriko kama ya Tsunami,maji kutoka baharini yakaanza kuingia...
Hii tafsiri nakubaliana nayo.Mimi ni muhanga wa hizo ndoto sana tena sana na ni kweli sioni chochote kinachoendelea kwenye maisha yangu.Napata pesa ila sijui pesa nazitumiaje.
Naweza kukamata milion hata mwezi haifiki na ukizingatia sina ulazima hata wa kutumia elfu 20 kwa siku ila unakuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.