Recent content by Jodeny

  1. Jodeny

    Pembe za ndovu za zaidi ya Sh Milioni 800 toka Dar zakamatwa Uswisi

    Taarifa ya wizara ya maliasili kuhusiana na sakata hili
  2. Jodeny

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Jimbo la singida Kaskazini nyalandu kashinda: Katika kata ya Ilongero. Nyalandu 667, Mpombo 88, Monko 608/1/15, 10:57:30 PM: Am Still Damas: Kata ya Maghojoa: Nyalandu 743, Monko 72, Mpombo 26, Aron 16, Mungwe 15 8/1/15, 10:57:30 PM: Am Still Damas: Kata ya Mrama: Nyalandu 744, Monko 125...
  3. Jodeny

    Waziri Nyalandu afungua mkutano wa WMA na wadau wa utalii

    WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii wakati alipofungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha...
  4. Jodeny

    William Ngeleja arejesha fomu za urais kwa kishindo

    Ngeleja atikisa Dodoma, arejesha fomu za urais MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja, amesema amepata fundisho kubwa katika harakati zake za kuwaomba udhamini ili ateuliwe kuwania urais na kwamba, limemuongezea shauku kubwa ya uongozi. Ngeleja, ambaye amepata kuwa Waziri wa Nishati na Madini...
  5. Jodeny

    Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    Nassari ni mfano wa wabunge wababaishaji, anatafuta kiki ya kisiasa akaona bora kumgusa nyalandu. Mbona hawajagusa viongozi wa chadema wanaobadilishana wanawake. Wabunge wengine wamezalishwa humo humo. Na hayo maneno kuwa kuwa akisikia mbunge anamgusa nyalandu anaruka juu na kumwangukia, sasa...
  6. Jodeny

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Hahahahaha njaa zitawaua vijana, fanyeni kazi coz hata hao mnaowalamba miguu wakifanikiwa hawataweza kuwakumbuka nyote hadi nyie vipwapwito zaidi ya wahindi ambao watapewa tenda na kupiga deal za maana.
  7. Jodeny

    Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    Huyu nassari pia ni aina ya wabunge maslahi na mtoa sifa nyingi anapokuwa na shida, aliwahi kusifia utendaji wa nyalandu na kuahidi kumwangukia mtu bungeni. Kweli hii ni Lala salama
  8. Jodeny

    Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    Watanzania mlitakiwa kuongozwa na iddi amini ili akili ziwakae sawa maana kwa kupoteza muda kujadili upuuzi hatujambo,hiyo ishu ya nyalandu mbona sio kama mnavyoitolea macho.?!!! Huyo anti Ezekiel mara zote amekana kupelekwa huko na nyalandu sasa duh mnataka kumlazimisha iwe kweli ili iweje?
  9. Jodeny

    Ubunge Arusha mjini: Hiki ndicho kitakachomnyima Philemon (Monaban)

    Endeleeni kuzoza nilijua umeshuka na nondo za ukweli kumbe wivu tu. Wananchi wa Arusha wataamua ndio walioshika mpini
  10. Jodeny

    Ikiwa picha hii ni ya kweli, Nyalandu lazima ajiuzulu

    Hakuna cha ajabu hapo ni namna ya kiongozi kuwa karibu na kuwatia moto wapiganaji wako, ingekuwa faragha hapo ni ishu nyingine. Wabongo mnapenda kuzoza sana
  11. Jodeny

    Huyu ndo Rais mtarajiwa wa awamu wa 5 ambaye watanzania wanamhitaji sana

    watanzania hawataka viongozi wagonjwa wakati taifa lina hazina kubwa ya vijana wenye uwezo, hao mnaowataka kwa ajili ya kupoza njaa zenu za muda mfupi wachagueni kuongoza familia zenu coz inaonekana wenyewe mmeshindwa so acheni wawasaidie. acheni wafu wazikwe na wafu wao.
  12. Jodeny

    Diana Chololo na Martha Mlata hawajawahi kurudi jimboni kusikiliza kero

    mtoa mada una uhakika hiki ulichoandika kwa sabubu kama huyu martha mlata ndio anaongoza kwa kupeleka misaada kwa vijana na wanawake wa singida kuliko hata wabunge wa majimbo labda huyo chilolo ndio sijamsikia.
  13. Jodeny

    Nyalandu amaliza utata wa tozo

    WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ametia saini Tangazo la Serikali (GN) kuhusiana na utozaji toza kwa hoteli za kitalii zilizopo katika Hifadhi za Taifa. Pia amewaonya wawekezaji wanaokwepa kulipa kodi halali za serikali kuwa, hatasita kuchukua hatua kali na kwamba, ni lazima...
Back
Top Bottom