MSAADA TAFADHALI Samahani waungwana naomba kwa anayejua ule mfumo unaomwezesha mfanya biashara kujaza bidhaa zinazoingia dukani na zinazotoka ili kujua biashara yake inaendeleaje hata kama yeye yuko mbali ila mfumo unaweza kusimamia biashara yake.
Nauza madini hayo hapo chini natokea Tanga korogwe.
Hiyo ya kwanza ni change colour ya purple. Hiyo ya pili nje nyeusi lakin ndani inaonekana nyekundu.
Mawasiliano 0715831041.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.