Recent content by Job Richard

  1. Job Richard

    INAUZWA Mashine za kusaga na kukoboa Dar es Salaam

    Mashine za Kusaga na kukoboa
  2. Job Richard

    Mashine za kutengeneza tofali aina zote zipate kwetu

    Mashune za tofali za mkono (manual block machines ) zipo karibuni sana
  3. Job Richard

    INAUZWA Mashine za kusaga na kukoboa Dar es Salaam

    Unahitaji size gani boss zote zipo
  4. Job Richard

    INAUZWA Mashine za kusaga na kukoboa Dar es Salaam

    Nitafute mkuu baadhi walikuwa nazo hunitafuta mpaka mshana nadhani aliuza ni muda mrefu
  5. Job Richard

    Mke wangu anadai simridhishi kitandani

    Mkuu kumuacha sio suruhisho kabisa nakushauri kama hukumkuta na bikra huyo alizionja sana huko nyuma shukuru alikuvumilia hata hiyo miaka 3 Na anakupenda muhimu msikilize kaa nae Huenda ulaji wako ni dhaifu Kingine muongeze mtoto hawa wakiwa na katoto Kamoja wasumbufu piga double double awe...
  6. Job Richard

    INAUZWA Mashine za kusaga na kukoboa Dar es Salaam

    Unahitaji mashine ya kusaga na kukoboa nikukaribishe utazipata kwetu Pia utapewa ushauri mashine ipi itakufaa kutokana na mazingira yako Tunapatikana tabata Namba zetu 0717209569
  7. Job Richard

    Mashine za juice ya miwa zinapatikana

    Hapana boss hatuna hiyo kesi pia hizi ni nzuri sababu hata parts zake tunauza pindi ikiharibika au kuleta tatizo lolote
  8. Job Richard

    Mashine za kutengeneza tofali aina zote zipate kwetu

    Pata mashine za tofali na ujenzi aina zote kwetu
  9. Job Richard

    Nani alimtoa bikra mke wako?

    Uliwahi kukutana nao kweli mkuu isijekuwa unajipoza maumivu kwa kuoa mke wa mtu
  10. Job Richard

    Ujenzi wenye gharama nafuu na muonekano mzuri wa nyumba yako

    Nimeziweka sana post zangu nyingi humu ngoja niupdate mkuu
  11. Job Richard

    Ujenzi wenye gharama nafuu na muonekano mzuri wa nyumba yako

    Hizi zipo aina mbili kwa upande wa nishati inatumia nguvu(manual) au kutumia mafuta inatgemea hitaji lako Ukisema miradi ya serikali haitumii nadhani umetumia neno pana sana NHC,Jeshi,TBA hata hizo shule zipo nyingi wanatumia interlock bricks labda eneo lako
  12. Job Richard

    Ujenzi wenye gharama nafuu na muonekano mzuri wa nyumba yako

    Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba...
  13. Job Richard

    Mashine za kutengeneza tofali aina zote zipate kwetu

    Hello unaetafuta namna gani upunguze gharama katika ujenzi upo sehemu sahii hapa tumia tofali za interlock
Back
Top Bottom