Recent content by jo mose

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Leo nitalala Karatu, inawezekana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu

    Kwa kupigwa kwake taifa linakombolewa dhidi ya ukoloni
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Leo nitalala Karatu, inawezekana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu

    Anawaza ngono ngono mda wote huyu mgombea anapwaya kabisa hana sifa ya kuendesha gari za kisasa
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Slaa kutumika kwenye kampeni 2020, imekaaje hii

    Ni sahihi sababu ni ccm
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Slaa kutumika kwenye kampeni 2020, imekaaje hii

    Hadhi yake kwenye siasa,jiwe anataka vichaa kina heche, Mtikila au Lisu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Arusha kuwa kama Calfornia ni kichekesho na mzaha mkuu

    Hizo Ni ndoto za alinacha za mzee mecco
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nchi imelipuka, kila kona, kila sehemu naona ni Tundu Lissu

    Why mnaomba usaidizi wa polisi,tume, mmewakimbia wapiga kura kusini
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Slaa kutumika kwenye kampeni 2020, imekaaje hii

    Dr Slaa ni sawa na Nassari au Lijuakali
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nchi imelipuka, kila kona, kila sehemu naona ni Tundu Lissu

    Jana sio leo,ujaona huo mziki.
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nchi imelipuka, kila kona, kila sehemu naona ni Tundu Lissu

    Tupige kura kwa wingi washindwe kuiba maana watabadili katiba Hawa watutese milele hata uchekae sasa utalia mbeleni, shetani Hana rafiki zaidi ya tumbo lake
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 US Senate on Tanzania: We are concerned by Magufuli’s use of increasingly repressive measures against opposition, CSOs and the Press

    Mabalozi hawawezi kaa nchi zenye watu wahuni huni tu.Kumbuka sisi sio kisiwa ni sehemu ya dunia. Bila Hawa weupe nakuhakikishia watawala sampuli ya jiwe wangetugeuza mishikaki usiku na mchana furaha yao ni kuona machozi ya watu,vilio vya watu kwao ni music hofu ya kukosa misaada na kupelekwa the...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 US Senate on Tanzania: We are concerned by Magufuli’s use of increasingly repressive measures against opposition, CSOs and the Press

    Anatolewa kwa demokrasia na nguvu ya umma next week. Kanuni ya kuongoza nchi yeyeto duniani ni mbili. Ambazo jiwe amezikiuka lzm ang'oke 1.usisomeshe namba watu wako 2.usigombane na wakubwa wa dunia. Ukisomesha watu namba wataungana na adui zako kukuondoa madarakani. China ndie mnufaika na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 US Senate on Tanzania: We are concerned by Magufuli’s use of increasingly repressive measures against opposition, CSOs and the Press

    Wao ndo uingia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi pindi kikinuka thus Wana haki ya kuingilia
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yatoa ufafanuzi Lissu kuzuiwa kufanya kampeni Kilwa

    Ila police wameivaa Sana mitego ya chadema pindi ushahidi ukitakiwa
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 WanaJF tunaomuunga mkono Dkt. Magufuli sasa ni muda muafaka wa kumsaidia kupata ushindi wa kishindo

    Jiwe amewasaliti watz amewaumiza nguvu ya umma inakwenda leta mabadiliko
Back
Top Bottom