Tatizo si andiko, tatizo ni uelewa wa watu humu na chuki binafsi tu. JF wamelimit uwezo wa users kuedit headings za nyuzi zao. Wameruhusu tu users kuedit body na siyo title wala index. Sasa panapotokea posting errors, wanatoa loopholes kwa baadhi ya watu kukurupuka na matusi yao. Kwa bahati...
Acha dharau wewe. Usikariri ulofundishwa na walimu wako elimu yenyewe hii. Aliyemfundisha Mtume Paulo kuandika waraka alikuwa mwalimu wako? Format aliitoa wapi?
Hiyo Index imejipachika hapo yenyewe na nimejaribu kuitoa but technical error imetokea, JF inafahamu jinsi ilivyoweka settings zake kwenye namna ya kuedit heading.
Kwa maana jinsi hii...
Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalamu wafanyao kazi. Ikiwa watachukua maisha yao katika mikono yao wenyewe, na kuchukua bidii katika kuyatanzua matatizo badala ya kuyakwepa, hapatokuwa na shida yo yote katika dunia ambayo hawatoweza kuishinda...
Mara nyingi hutokea kwamba umma mkubwa unatupita sisi na una hamu zaidi ya kusonga mbele hatua moja na kwamba juu ya yote hayo viongozi wetu hawafaulu kuwa viongozi wa umma mkubwa bali wanafuata kama mkia baadhi ya watu walio nyuma kwa fikra, wakiyaleta maoni ya watu wale na, zaidi ya hayo...
Mawazo barabara yanatoka wapi? Jee yanaangukia kutoka mbinguni? La. Jee, yamo akilini tangu mtu kuzaliwa? La. Mawazo barabara yanatokana na vitendo vya mtu katika jamii tu. Mawazo barabara yanatokana na aina tatu za vitendo katika jamii:
1. Mapigano ya kuendeleza uchumi,
2. Mapigano ya...
DUNIA NI YA NANI?
Dunia ni yenu (vijana), pia ni yetu (wazee), lakini katika uchambuzi wa mwisho, ni yenu. Nyinyi vijana, mkiwa mmejaa hamasa na nguvu, maisha yenu ndio kwanza yanachanua, ni kama jua la saa mbili au tatu ya ahsubuhi. Matumainio yetu (Wazee) yapo juu yenu. Dunia ni yenu...
Kwa wale ambao wamesoma historia ya falme za zamani na tamaduni za watu wa kale hususan mashariki ya kati, basi jina hili "Hammurabi" haliwezi kuwa geni. Katika zama hizo za ufalme wa Babeli, alikuwako kiongozi wa ngazi ya juu kabisa katika dola hiyo iliyoitikisa dunia ya enzi hizo kwa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.