SimuTV tangu lowasa aanze kuzunguka mikoani hawaweki kabisa habari zake. Lakin za JPM wanazisaka kwa udi na uvumba, ki kweli wanaboa! Watende haki, waache wananchi waamue, vinginevo watujulishe wazi kuwa mgombea wao ni JPM
Ni ukweli uliowazi, bado serikali za nchi zetu zinazoendelea hazina cha kujipongeza
hasa ukizingatia bado tupo tegemezi kwa asilimia kubwa;;Nitaipongeza serikali pale tu:-
1. Itapoondokana na mfumo tegemezi, bajeti ya nchi haiwezi kutegemea wafadhili kwa takribani 40%, hii ni hadi lini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.