Recent content by jnhiggins2

  1. J

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    kosa la Prof. Tibaijuka ni nini?kama pesa sio ya umma yeye kakosa nini kupokea? Kama pesa ni ya umma Muhongo aliyeliambia bunge hakuna pesa ya umma kabaki kwa nini? Sijaona haki kutendeka. Muhongo kalindwa kwasababu ya maswi.
  2. J

    Ikulu leo: Pinda awa kivutio kwa wasomi wa vyuo vikuu, wagombea kupiga nae picha

    Hatuhitaji rais wa term moja sisi, Pinda kachoka a pumice jamani. Kama uwaziri mkuu tu umemshinda u rais itakuwaje? Au tunataka watu wasioweza kufanya maamuzi ili muendelee kuiba?
  3. J

    BBC: Tanzania PM Mizengo Pinda caught in Corruption row

    If I was a president the two ministers could have gone, 1. Mizengo Pinda for weak leadership and the first weakest PM ever in Tanzania. 2. Hawa Ghasia for responding like a kindergarten kid in the parliament session on behalf of the Government
  4. J

    Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    Ocampo huaminiki tena we ni opportunist unawezaje kupata siri za kambi mbili kwa vikao vya ndani? Halafu unaowa quote ni haohao kila siku
  5. J

    Mjadala wa escrow umeisha: Yafuatayo ndiyo niliyoyagundua

    Mjadala wa escrow umeisha: Yafuatayo ndiyo niliyoyagundua... (1) pasipo tundu lisu masuala ya sheria ndani ya bunge ni magumu (2) zito kabwe ana akili sana (3) mwigulu mchemba kazaliwa upya (4) mizengo pinda urais atausikia kwenye vyombo vya habari tu (5) wanawake wengi walioteuliwa kwa...
  6. J

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    After I have listened to MP Mshama have realised that CCM has some damn fool MP's
  7. J

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    masuala haya yakiendelea kwa namna hii very soon watu wataidai haki barabarani. Jana kamati ilitoa ushauri mzuri sana sana ya kuwa ili kurudisha imani ya wananchi kwa serikali waziri mkuu ajiuzulu na wenzake wote waliotajwa kwenye kashifa. ni kweli yeye waziri mkuu hajatajwa lakini ni busara tu...
  8. J

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Kwa kweli kama anayoyasema Muhongo ni kweli ya kwamba hela ya ESCROW sio ya umma basi haya ni matusi kwa ofisi ya CAG na TAKUKURU kwa maana ya kuwa hizi ofisi zimetoa taarfia ya uongo. kwa maana hiyo zifumgwe. Na kama zimesema ukweli basi Muhogo afunguliwe mashitaka na afungwe.
  9. J

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    Lakini kwa vyovyote itakavyokua hawa wote wanatakiwa wawajibike kwa uzembe wao hata kama hawakuchukua pesa
  10. J

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    Kosa kubwa lililofanyika ni kutokwenda kuchunguza accounts za Waziri mkuu, waziri wanishati na wengine wote ambao wanadhaniwa walihusika kuruhusu hela zitoke
  11. J

    Dodoma: Hujuma za viongozi wandamizi wa serikali kuiangusha Serikali ya Kikwete zajulikana

    Hakuna anayewahujumu wanajihujumu kwa uzembe wao au wizi wao
  12. J

    Dodoma: Hujuma za viongozi wandamizi wa serikali kuiangusha Serikali ya Kikwete zajulikana

    Hujuma wanaifanya viongozi wanaoiba na wala sio wanapigania fedha irudishwe. Tena wabunge wasiolipinga hili msiwachague wawe wa upinzani au CCM
  13. J

    Dodoma: Hujuma za viongozi wandamizi wa serikali kuiangusha Serikali ya Kikwete zajulikana

    This nation has reached the highest magnitude of corruption it is high time now to force the government machinery to think and work in a rational manner
  14. J

    Dodoma: Hujuma za viongozi wandamizi wa serikali kuiangusha Serikali ya Kikwete zajulikana

    Wabunge msionee mtu na pia msimlinde mtu fanyeni kazi yenu
  15. J

    Dodoma: Hujuma za viongozi wandamizi wa serikali kuiangusha Serikali ya Kikwete zajulikana

    Bunge kataeni amri ya sitisho la mahakama ni uhuni
Back
Top Bottom