Recent content by jnhiggins

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kuthibitishwa kazini kwa utumishi wa umma

    Ili uthibitishwe kazini mwajiri wako lazima aridhike na utendaji kazi wako na pia aridhike na tabia zako mahala pa kazi. Maana unaweza kuwa mchapakazi lakini mgomvi au unakiburi. kwa ushauri zaidi soma vision ya taasisi ulikoajiriwa na pia soma job descriptions na standing order muhimu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

    Yaani bora wangemuacha achukue form ili wamnyime kura ingekuwa vizuri sana maana hapo kweli watanzania wangeamini CCM hamuogopi kabisa.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu anapomtusi Rais kupitia gazeti la Jamhuri, makala yake ya tarehe 25 Feb

    I could tell from the word go
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu anapomtusi Rais kupitia gazeti la Jamhuri, makala yake ya tarehe 25 Feb

    Ulisoma kwenye mti upi wa muembe? Kiswahili kibovu, mawazo mabovu na huelewi taasisi ya urais inahitaji kuwa makini hasa ili kujenga taifa huru lenye mshikamano na sio kusikiliza umbea?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

    Kwani hawezi kutokea a better person than him? Watu walisema haya haya kwa Mwinyi wakataka aendelee, isingekuwa mwalimu huenda Mwinyi angekuwa rais hadi leo, akaja Mkapa tukasema hayahaya, akaja JK watu wakata akae hadi katiba mpya ipatikane, uzuri JK ni mwanasiasa alijua amani ya Tanzania...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kinana agoma kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM

    Walimkashifu kitu gani? Maana sijaona kashifa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ukipoteza hati ya kusafiria utatozwa 750,000 kupata nyingine

    Kuishi nje? Nimekulia nje conpadre que lo que quieres saber de mi? He vistado to America y europa te intiendes?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ukipoteza hati ya kusafiria utatozwa 750,000 kupata nyingine

    Very idiotic indeed
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo kampeni zinaanza, CCM wanaona aibu kufanya kampeni peke yao?

    Sasa wanafanya kampeni zipi au za nini wakati wamepita bila kupingwa wenzao si wamejitoa
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Wajumbe 17 walioanzisha Chama cha TANU na uzao wao kwenye siasa za sasa nchini

    Tofauti kati ya mwanzilishi na mwasisi ukiijua utaelewa vizuri the crux of the matter here. TAA ilikuwa na waasisi wake ila kwenye TANU it’s another thing ni sawa na baadae TANU na ASP zilivyoungana waasisi wanajulikana wengine walishiriki tu kubariki
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zipo wapi hoja za kumkosoa Rais Magufuli? Kama tumeishiwa bora tuungane naye tu

    Acheni uchaguzi huru ufanyike ndio mtagundua kama tunapendwa na wananchi
  12. J

    JamiiForums Tanzania Jumapili Prof. Assad alikuwa akitafutwa anasema yupo nje ya Nchi

    Kawe Alumni, We it seems humjui Prof. Asad vizuri. Hana kiburi ila anasimamia Sheria. Sasa kama mtu alikuwa nairobi sio nje ya nchi? Au nje ya nchi hadi uwe Ulaya tu? Na baada ya kukabidhi ofisi karudi Nairobi na kakutana na Alli Mfuruki na ka tweet kuwa hajawahi kukutana na a humble prof. like...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

    Kasome vizuri au muulize prof. Shivji
  14. J

    JamiiForums Tanzania Taaluma maalumu ya uhasibu(CPA) sio kigezo cha kuwa Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG)

    Hajawahi kuwa mkaguzi mkuu alikuwa mhasibu tu wa kawaida
  15. J

    JamiiForums Tanzania Orodha ya waliojaribu kumkwamisha 'chuma' Magufuli na wakaangukia pua!

    Jinga lao kivipi utajilinganisha na Mwele wewe kwa credentials zipi ulizinazo?
Back
Top Bottom