Huyu jamaa alikuwa “Kingmaker” wa ZANU-PF. Na ndiye aliyepewa tenda ya kuchapa kura kule Zimbabwe. Kuna uwezekano alitumika hata kule Malawi kwenye mambo ya uchaguzi. Ndo maana ya heshima anayopewa pamoja na mengineyo.
Kwa vyovyote vile, kutokana na historia yake, kuwa kwake na urafiki na hao...
Huyo Lulu kuna uwezekano ni linage ya Mganangwa. Ambaye na yeye alikuwa mwanajeshi mpigania uhuru wa Zimbabwe hivyo ana influence kubwa sana jeshini na ndo maana aliweza kumuondoa Mugabe.
Huyo Lulu historia yake imefichwa sana na hakuna habari zake ambazo ziko wazi. Hata kujulikana ni baada ya...
Serikali ipo “under scrutiny”, so they have to do anything, an hope it works.
Sawa na kutupa ugali ukutani kufahamu kama umeiva au bado.
Kwakuwa Netanyahu na yeye ana warrant ya ICC. Kuna jambo serikali inaona jicho kwa jicho na Netanyahu.
Netanyahu na Trump ni very close. Adui wa mmoja ni...
Huo unga hiyo meli ilikuwa imebeba wanasema wa Nafaka wote.
Kuna uwezekano wote ni unga wa nafaka na pia kuna uwezekano kuwa siyo wote ni wa nafaka.
All in all, hata safari za kumuona Putin hazijasaidia hizo zenye bendera ya Tanzania zisishambuliwe.
Je huo “unga wa nafaka” umetokea Ukraine?
Hii hoja yako nimeona umeandika kwenye thread zaidi ya moja.
Hii ni hoja nzito yenye kuhitaji majibu. Hii ilitakiwa kuwepo na thread yake pekee.
Kwanini upande wa mashtaka hawakuwaleta hao kina DCI Kingai, IGP, mkuu wa TISS na CDF kama mashahidi wao kwenye kesi nzito kama hii ya uhaini?
Hao...
1. Eda huchukua miezi minne na siku 10
Kwa mjane ambaye si mjamzito, kipindi cha eda ni miezi minne na siku 10, hii ni kwa mujibu wa Qur'an katika Surah Al-Baqarah 2:234.
Wenzenu kina nani? Toa mfano.
Unafahamu umri wa kustaafu wa nchi kama marekani?
Unamzungumzia Warioba ukisema “watu wenye miaka 60 watoke kwenye uzalishaji, huo mfano wako una relevance gani?
Au ni chuki zimekupofusha?
What mortuary announcement? First Gentleman’s?
Warioba collapse? Is there any foul play?
Ngoja kwanza nikasome thread kuhusu Warioba akisema mtutu wa bunduki hauwezi kuleta amani.
Tembo atakuwa ni mkubwa kuliko wote.
Swali gumu ni kuhusu hao wakamataji ambao hata tembo naye alikubaliana na swala kwamba wana nguvu kubwa hadi kumuogopesha tembo mwenyewe.
Pamoja na kwamba EN alikuwa kwenye nafasi kubwa kumkaribia tembo, bado sidhani kama hao wakamataji ni wa hapa Malawi...
Ni kweli. Inaonekana wamekubalina wasitumie baadhi ya maneno mfano utekaji, na mauwaji. Hilo nimeliona kwa wana ccm.
Hapo anasema eti “alichukuliwa”, utadhani ni kapu au mzigo umechukuliwa.
Hapo maana halisi, kuchukuliwa bila ridhaa, ndo tafsiri ya kutekwa.
Lakini wao wanachukulia kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.