Search results

  1. jmushi1

    Billionaire Trump Cannot Post a $454m Bond !

    It’s not that trumpy doesn't have the money to pay the bond. He just doesn't want to use his money to pay it. I’m quite sure he's trying to drain the RNC to pay that bond. The go fund me isn't working. None of his rich billionaire friends are going to help him... because he doesn't have any...
  2. jmushi1

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Kweli wakina Geo Davie na Mwamposa hawana makosa yoyote ni sisi wenyewe daah!
  3. jmushi1

    Simulizi ya Jenerali Mabeyo ni ishara tosha Magufuli ni miongoni mwa binadamu wachache waliopo Mbinguni?

    Mbwa kala mbwa? https://www.jamiiforums.com/threads/ni-kweli-mbunge-wa-geita-kapata-kashfa.157913/
  4. jmushi1

    Je aliyeleta ushindi wa simba ni Chama au shabiki aliyeenda fukia hirizi golini

    Kumbe kuna uchawi wa kisasa? 🧐
  5. jmushi1

    Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu baada ya Makundi ya Uhalifu kumshinikiza aachie madaraka kabla ya kurejea nchini humo

    Walitumwa mkuu. Kuna ambao wamefunguliwa mashtaka marekani. Na kule Haiti pia mke wa rais ambaye naye siku anauwawa alikuwepo. Ametajwa na jaji anayesimami hiyo kesi ya mauwaji. Wengine ni waziri mkuu aliyepita, pamoja na mkuu wa polisi aliyepita. Wengine walioshiriki nao walikamatwa marekani...
  6. jmushi1

    Kibonzo: Kuna kiongozi mfu anaangushiwa takataka

    Atakuwa alimsoma Mzee Mwanakijiji
  7. jmushi1

    Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu baada ya Makundi ya Uhalifu kumshinikiza aachie madaraka kabla ya kurejea nchini humo

    Hakupigwa risasi na vibaka yule rais Jovenel Moise. Ni mercenaries 28 kama sikosei. Wengi wao wakiwa ni wanajeshi wastaafu wa Colombia. Wewe unasema rais alipigwa risasi na vibaka. Unamzungumzia Jovenel?
  8. jmushi1

    Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

    Usifananishe vitu ambavyo havifanani. Putin hawezi kuipiga Kyiv kama Netanyahu anavyoipiga Gaza. Kyiv ipo intact hata viongozi wakuu wa mataifa mbalimbali wanatembelea pale. Gaza hata chakula chenyewe hakiingi pale. Kwanini mnapenda kuandika vitu visivyokuwa na uhalisia? Au mnafurahishana tu?
  9. jmushi1

    Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu baada ya Makundi ya Uhalifu kumshinikiza aachie madaraka kabla ya kurejea nchini humo

    Hata sijui unaongea vitu gani! Rais gani alipigwa risasi na vibaka? Halafu kule Haiti ni vikundi vya uhalifu siyo kama M23 ambao wana mafunzo ya kijeshi.
  10. jmushi1

    Paul Makonda amkosha Rais Samia kwa uchapa kazi wake, ataka viongozi wengine waige mfano huo

    Chawa kapata chawa. Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi!
  11. jmushi1

    Paul Makonda amkosha Rais Samia kwa uchapa kazi wake, ataka viongozi wengine waige mfano huo

    Kuna watu wawili anawapenda sana tofauti na Samia. Nao ni Makonda na Tulia Ackson.
  12. jmushi1

    Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

    Hiyo kazi ya kujaza maji si ndo ilichukuwa muda mrefu na mradi kuchelewa? Sasa yanamwagwa tena? Au kuna kitu sijaelewa hapa?
  13. jmushi1

    Rais Samia akiri Watanzania hawana furaha

    Hahaha! Mpaka wanabubujikwa machozi kina Lucas mwashambwa
  14. jmushi1

    Mambo niliyoyaona leo Simba vs Singida

    Duh! Huku mko na kina Salary Slip 😀
  15. jmushi1

    FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

    Wao hawataki nafasi ya nne? Mechi ngumu kwa Simba hii
  16. jmushi1

    Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

    Hızı picha zimenishangaza. Zinazungumza mengi sana yanaoendelea hapa nchini. Sasa ndo nimegunduwa kwanini kuna Samia queens ya kina Jokate.
  17. jmushi1

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Hakuna mtumishi yeyote yule wa umma au taasisi yoyote ile inayoweza kumpangia Rais cha kufanya chini ya katiba hii.
  18. jmushi1

    FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

    Tayari wamebebwa. Yao ile red card.
  19. jmushi1

    FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

    Mmiliki wa Yanga mzee wa bahasha leo lazima ziwe nono zaidi kwasababu baadhi ya wachezaji tegemezi hawapo.
Back
Top Bottom