Kweli JPM ni rais wa watanzania wa vyama vyote. Jana kamwita prof Lipumba mchumi aliyebobea, ikulu kamfafanulia vizuuuri kuhusu wizi wa stanbic bank. Leo kamtuma Semfue kuongea na wanahabari. Safi sana RAIS.
#msemajiukweli tuachana na habari ya vyama kwa sasa. Uchaguzi umeisha rais wetu wote watanzania ni jpm. Tumuunge mkono kwa jitihada zake za kuinua uchumi wa nchi yetu. Tushirikiane kufichua maovu kwani ameonyesha dhamila ya kweli ya kuyateketeza.
Nadhani hukusoma na kuelewa alichokiandika Mtatiro. Kwani anasema wazoea deal au kunufaika kutokana na chama hawana furaha na uongozi wa jpm. Hii ni kweli asilimia 100. Wapenda haki wote bila kujali chama wanafurahia uongozi wa mh rais. Ndicho alichokiandika mr Mtatiro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.