Kuna wananchi weng sana waciojua katiba ii iliopo n vp inawasaidia,wananchi awa awa ndo wanaopata shida kubwa za maji,hospital,shule nk,me kwa upande wangu cdhan sana kama suluhisho ya yote aya n kua na katiba mpya,kwa wananch wa kawaida kabsa ukimuuliza kwa ss,je unaitaj katiba mpya au...