Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ni sekta muhimu sana Kwa ustawi wa viumbe hai wa Leo na Kesho. Kilimo, Ufugaji, na Uvuvi haviwezi kuleta tija kama Mazingira hayatunzwi na kuhifadhiwa vizuri. Mfano: Tunahitaji mvua Kwaajili ya kupata maji lkn hatuwezi kupata mvua salama Kwa wakati sahihi bila kuwa na...
Lengo letu ni kuwashirikisha watu wengi kama sio wote kwenye majimbo yote.
Ili waweze kupewa elimu kuhusu umuhimu wa kutunza na kuhifadhi Mazingira Kwa muda mfupi.
Tena tutaweza kuwashirikisha watu wengi kupanda miti na kuigeuza Nchi yetu kuwa ya kijani jambo ambalo litasaidia upatikaji wa mvua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.