Recent content by jlupembeTz

  1. jlupembeTz

    Naomba msaada jinsi ya KUROOT TECNO LC6

    Nahitaji KUROOT TECNO LC6 Naombe
  2. jlupembeTz

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    IPHONE 6PLUS INAUZWA 64GB STORAGE 1GB RAM BEI 430000 CALL ME 0769233063
  3. jlupembeTz

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    IPhone 6plus 430k Nicheki 0769233063
  4. jlupembeTz

    Wauza smartphone tukutane hapa

    380k nicheki 0769233063
  5. jlupembeTz

    Wauza smartphone tukutane hapa

    IPHONE 6PLUS INAUZWA 450000 64 STORAGE 1GB RAM CALL ME 0769233063
  6. jlupembeTz

    I Phone 6 Plus inauzwa

    IPhone 6plus inauzwa 64GB STORAGE 1GB RAM BEI 450000 manzese Dar Call me 0769233063
  7. jlupembeTz

    Tatizo la kuvuja umeme

    Ww unaona nimekosea lakini mm naona nipo sahihi kulingana na lugha niliyotumia Nashukuru kwa kunisaidia kutafsiri Swahili to English Wayaringi====Wiring
  8. jlupembeTz

    Tatizo la kuvuja umeme

    Kabla ya kufanya installation mpya inatakiwa fundi aje apime ajue hilo tatizo la kuvuja kwa umeme linasababishwa na nini? Unaweza ukafanya wayaringi mpya na tatizo likaendelea
  9. jlupembeTz

    Tatizo la kuvuja umeme

    Pamoja mkuu
  10. jlupembeTz

    Tatizo la kuvuja umeme

    Pamoja bro
  11. jlupembeTz

    Tatizo la kuvuja umeme

    Tatizo la kuvuja kwa umeme (Earth Leakage) Wengi wamekuwa wakilipa bili kubwa za umeme ambazo hata wao wanahisi sio halali ukilinganisha na matumizi yao. Tatizo la kuvuja kwa umeme limekuwa kubwa sana,bahati mbaya mafundi wengi wamekuwa wakilitatua kwa namna ya kuliongeza badala ya kuliondoa...
  12. jlupembeTz

    Tatizo la kuvuja umeme

    TATIZO LA KUVUJA KWA UMEME (EARTH LEAKAGE) Wengi wamekuwa wakilipa bili kubwa za umeme ambazo hata wao wanahisi sio halali ukilinganisha na matumizi yao. Tatizo la kuvuja kwa umeme limekuwa kubwa sana,bahati mbaya mafundi wengi wamekuwa wakilitatua kwa namna ya kuliongeza badala ya kuliondoa...
  13. jlupembeTz

    Electrician domestic and industrial call me 0769233063

    Earth road Kama ipo vzuri tatizo linaweza kuwa wiring Kama earth wire hajafika kwenye switch socket zote, vitumia umeme vyenye asili ya chuma , Square box za chuma zote Earth wire inatakiwa ifike, pia mafundi wengi huwa tunapuuza kufikisha earth wire kwenye taa zenye asili ya chuma kama tube...
Back
Top Bottom