Vipimo vya DNA vinapatikana ofis ya MKEMIA MKUU WA SERIKALI yenye ofis zake Dsm, Mwnz, Arusha, Mbeya na Mtwara.
Gharama kupima sampuli moja ni sawa na Tsh 100,000 hivyo mtapimwa sampuli 3 jumla kwa gharama ya laki 3.
Unatakiwa kwenda kwa AFISA USTAWI WA JAMII wilaya unapoishi au upite kwa...
Hapana, hakuna jambo kama hilo; kumbuka watumishi wa ofis ya mkemia mkuu wamefundwa kwa maadili ya utumish wa umma na wameapa kutoa huduma ktk ubora mkubwa na kwa kuzingatia sheria husika; kufanya hayo unayosema wew ni kosa kubwa kimaadili na adhabu yake yaweza kuwa kuachishwa kazi, sasa kwa nn...
KUPIMA DNA.
Kwa tanzania sheria ya DNA za binadam inasimamiwa na ofis ya MKEMIA MKUU WA SERIKALI. Majibu yanayopatikana maabara ya mkemia mkuu wa serikali ndio yanayokubalika kisheria; hivyo unapaswa kufika ofis za mkemia mkuu wa serikal(dsm, mwanza, mbeya, arusha na mtwara) ili kupewa ushaur na...
Tmajuto nashukur kwa maelezo mazur, kibali cha uhamisho kilitolewa na katibu mkuu utumishi, ngoja nisubir miez michache iliyosalia ili kumaliza mwaka kwa mwajir mpya nisubiri kuona kitatokea nn, naamin nitaendelea tuu hapa kwan kaz nazimudu na mwenendo wang uko vzr hivyo naamin hakuna ground ya...
Kimsing tayar nilkuw nimekaa kazin kwa mwaka na miez mitano lakin mpaka wakat huo bado barua za uthibitisho zilkuw bado hazijatolewa na mpaka wakat huo hakukuwa na maelezo au barua yoyote inayopinga kuthibitishwa kwang.
Baaday uhamisho ulifata taratbu zote za utumishi na barua nilyopewa toka...
Barua yng ilinukuuvifungu Na.(8)(3)(f) vya sheria ya utumish wa umma sura 298 kmilvyorekebishwa na sheria Na.18 ya mwaka 2007 ikisomwa kwa pamoja na kanuni Na.107(1) ya kanuni za utumish wa umma 2003, aya Na.13(k) ya taratibu za Uendeshaji utumish wa umma za mwaka 2003 na Kanuni D.55 ya kanuni...
Mzee wa ngada.
Hiv utaratibu mwajir mpya ananirudisha menejiment ya utumish wa umma au ananirudisha moja kwa moja kwa mwajir wang wa zaman? Je hakuna uwezekano kwa menejment ya utumishi kunihamia taasis nyingne inayohitaji watu wenye taaluma au ujuz wang?
Mtu mmoja aliniambia kuw ktk secondment ikifika kipind flan natakiwa nimweleze mwajir mpya kuw niko tayar kuendelea naye au narud nilkotoka; pia aliniambia miez 12 ikipita bila taarifa yoyote toka kwa mwajir wa zaman au mwajir mpya basi itakuwa nimehamishwa permanently kwenye taasis hyo.
Swali...
Kimsing binafs sifikirii kurud kule nilkotoka na pia mwajiri wa awali hafikirii kunitaka nirud kwake tena; wasiwasi wang ilkuw ni juu ya hiyo barua ya kuthibitishwa kazin; naamin hapa nilpo kazi nazimudu vzr na mwenendo wang uko vzr hvyo sitegemei wanirudishe ati kwa kudai nimeshindwa kaz au...
Mim ni mwajiriwa wa halmashaur moja, baada ya kufanya kaz kwa muda wa mwaka 1 na miez 5 nilipata uhamisho kwa SECONDMENT kuhamia taasisi nyingine ya serikali inayojitegemea,
kipindi nahama toka mwajiri wa awali nilkuwa bado sijapata barua ya kuthibitishwa kazini lakini uhamisho wang huu wa...
Wadau naomba ushaur wenu ili kujua utaratibu wa kuhama kwa secondment kabla ya kupata barua ya kuthibitishwa:
1. Mwajiriwa anaruhusiwa kuhama kwa secondment hata kama atakuwa hajapata barua ya kuthibitishwa kazin na mwajir wake wa awali?
2. Km inaruhusiwa kuhama, vp barua ya kuthibitishwa...
Ni kwel kabisa huduma za kupima DNA ziko kisheria na kwa sasa taasis inayohusika ni Mkemia Mkuu wa Serkali kituo chake cha dsm; ktk case km hyo lazima DNA za mtoto, mama na baba zipimwe na kila DNA inalipiwa 100,000 hvyo jumla ya gharama itakuw lak tatu lakin kabla ya kwenda mkemia lazima uende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.