Recent content by jkipaji

  1. jkipaji

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri Mbeya imetuuzia maeneo yenye Mwekezaji anayehatarisha afya zetu kwa kutumia baruti

    Serekalini kuna wahuni pia,hii inatisha sana sijui tukimbilie wapi ili tupate msaada stahiki!!
  2. jkipaji

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati sahihi wa kununua viwanja Dar na kukamata maeneo nje ya mji

    Tatizo lako unafuata utaratibu usio sahihi, sasa serekali ya mtaa na Aridhi wapi na wapi!? Huko serekali ya mtaa ndiyo kumejaa matapeli wa viwanja, tumia Mwanasheria anaejua fani yake ipasavyo!!
  3. jkipaji

    JamiiForums Tanzania Abduli mbona amekuwa maarufu sana?

    Elezea ukawaida wake!?
  4. jkipaji

    JamiiForums Tanzania Abduli mbona amekuwa maarufu sana?

    Hivi inakuwaje mzazi anaweza kua na watoto wengi tu lakini kati ya hao wengi ni mmoja tu aka shine sana kuliko ndg zake ,mfano Abdul au Rizi moko!!
  5. jkipaji

    JamiiForums Tanzania Mabehewa 264 ya SGR ya kubeba Mizigo yawasili nchini

    Haa wapi hakuna kitu kama hicho, hata Mwendokasi ulivyo aanza tukajua sasa wamiliki na madereva wa daladala watakufa njaa,sasa hivi watu wanaogopa Mwendokasi kama ukoma wote wamerudi kwa daladala kama kawa!!
  6. jkipaji

    JamiiForums Tanzania KWANINI MBILIKIMO WENGI WANAFANANA?

    Nilikua na rafiki yangu wa kizungu akaniambia eti na sisi watu weusi tunafana sana hadi wanashindwa kututofautisha, akanipa mfano eti mimi nafanana sana na 50cent,nilishangaa sana kama kweli nina sura ngumu kama ya yule jamaa![emoji23][emoji23]
  7. jkipaji

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Kundi Kubwa la Vijana wanaolala Barabarani Sam Nujoma/Sinza Waangaliwe

    Kama unabisha nenda kawaambie wahesabu kuanzia moja mpaka nne ndiyo utajua kama mimi ni mpuuzi au wwe ndiyo mpuuzi!!??
  8. jkipaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kushikwa hivyo😀 hata siku moja au ndio unaona leo kwenye picha hujawahi😀

    Kiuno cha kushikwa hivyo kwanza unacho!? Usije kua na kiuno kama sanamu la Michelin hadi mikono yenyewe kukutana inakua shida!!? Just joking karibu nikushike mwaya pressure yako ishuke kidogo ufurahie maisha!!
  9. jkipaji

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Kundi Kubwa la Vijana wanaolala Barabarani Sam Nujoma/Sinza Waangaliwe

    Wengi wanao lala nje ni foreigner hasa kutoka Burundi na Congo!!
  10. jkipaji

    JamiiForums Tanzania TANZIA Amos Nnko, Mkurugenzi ofisi ya Msajili wa Hazina, bintiye wafariki ajalini Same

    Kila mtu ni muhimu kwa nafasi yake achaa zarau kijana, nyinyi ndiyo mnazarau hadi wafanyakazi wa ndani hadi wanawalisha vichafu bila kujua kwa sababu ya mazarau yenu!!
  11. jkipaji

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha yalivyo, nimewawekea wanangu Asset hii ije iwasaidie baadaye

    Tatizo ukifa tu wajanja wanakuja nyuma na kuwadhulumu Aridhi watoto wako,na wazulumishi huwa hawatoki mbali na familia yako!!
  12. jkipaji

    JamiiForums Tanzania Hii kitu imeniuma sana, nimebeba mifuko 70 ya Cement nimelipwa 1500

    Hao ndiyo aina ya wasomi wetu wanao sign mikataba kabla hata hajausoma, anakuja kuusoma kesha sign!!
  13. jkipaji

    JamiiForums Tanzania Hii kitu imeniuma sana, nimebeba mifuko 70 ya Cement nimelipwa 1500

    Msomi gani usiyejua ku negotiate kabla ya kazi!!??
Back
Top Bottom