Recent content by Jkilly05

  1. J

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Mkuu mi nipo humo ila sijapata mswedish wa kunifundisha....?ni PM bhas wako tushare
  2. J

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Mimi nipo tayari ni dactari nina pesa account hyo amount uliosema naomba email tuanze mchakato nije.
  3. J

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    mkuu Izzo mimi bado nipo nasubir ututajie hiko chuo! nipo interested na hyo kozi na nina MD tayari nadhani itakuwa rahisi kwangu. o
  4. J

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    wakuu wazoefu kuna link hyo ni utapeli au kwel!?? maana ukiapply wanataka mpunga!!
  5. J

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Da huyu jamaa m sina uwezo i wish ningemtegea mtego nimkamate!! Ila si bado yupo na ID yake mpya ntapata namna tu....!!
  6. J

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Asante kwa kutupa experience hii!! Hahahaaa jamaa ukawa unamuwaza Tz sweat heart sepenga!!! Duuu
  7. J

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Izzoooooo!!Izoooooo!!nna some insight hapa kidogo naomba ufafanuzi! Abt volunteer huko Malta a) ukiwavolunteer unaruhusiwa kufanya part time job out ya ur hours of volunteering if ur host akikuruhusu?? b)after 1 year ya volunteer ni haki yako kupata uraia wa malta(like umekidhi vigezo) au...
  8. J

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Izzo alieleza vizur mwanzoni!!Pitia comment zake!! By the way kwa njia ya kuvolunteer Malta!! Ingia website ya workaway.com then tafuta host wa kupokea volunteer huko MALTA!!kazi kawaida ni few hours( may be 5) per day ila unapata chakula na malazi!!Ol the best road to Malta!! tukutane huko this...
  9. J

    House4Rent Nyumba Inapangishwa Kigamboni

    Hujasema bei per month??
  10. J

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ni kweli kwa wale road to Sweden kwa schoralship ukiwa na B ya english O-level huhitaji kusubmit hzo test( toeft na ect..) wameeleza vizur kwa page yao...!!! WAZOEFU MNAWEZA KUONGEZEA HAPO..!!
  11. J

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Poa bado nasubir hajaleta contact ya mtu wa oficin kuhusu kuingilia kwa scout DL....Daly....!! Tunasubir wengi
Back
Top Bottom