Recent content by jkamala

  1. jkamala

    JamiiForums Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Sisi hatusapoti chama tunasapoti utendaji kazi wa mtu,kama bado uko kwenye enzi hizo pole sn unahitaji maombi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. jkamala

    JamiiForums Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Wkt mwingine Lisu ngoja nikushaur sio kila kitu ni kupinga mengine unachemka, sasa hilo lina faida gani kwa Taifa? Kama umekosa la kuongea unaweza kukaa kimya Sent using Jamii Forums mobile app
  3. jkamala

    JamiiForums Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Hivi hii nchi Mwanasheria ni Tundu lisu tu, alafu kama amechukizwa na Uteuzi huo alioufanya Magufuli akidai mtu x ni mtoto wa Dada yake mbn yeye mwenyewe Lisu Dada yake alikuwa mbunge viti Maalumu kupitia chama chake, Mi huwa sisapoti unafiki, Sent using Jamii Forums mobile app
  4. jkamala

    JamiiForums Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    The remedy of fire is fire
  5. jkamala

    JamiiForums Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Awamu hii tutaona mengi
  6. jkamala

    JamiiForums Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Wanasiasa bw ni shida,
  7. jkamala

    JamiiForums Escrow: Kilaini, Ngeleja, Tibaijuka, Naiko kila mtu anena lake. Wengine hawajui wamrudishie nani

    Kweli awamu hii ya tano tutaona mengi
  8. jkamala

    JamiiForums Tatizo la uume kushindwa kusimama imara

    Huyu mtu kaomba ushauri, inasikitisha sn watu wazima mnaanza kutoa ushauri ambao ni wa kejeli, jiulize laiti angekuwa wewe unajibiwa hivyo wkt una omba msaada? Tuache hizo Tabia sio nzuri, wahenga walisema usitukane wakunga uzazi ungalipo,
Back
Top Bottom