1. Kuingia mikataba ya siri, wizi wa ngawira/rasilimali za nchi, si ufilisi wa nchi?
2. kuiba kura na kubatilisha maoni ya waliowengi ni kuua sauti ya Mungu, si uhaini?
3. matumizi mabaya ya madaraka, ubambikizaji kesi na ukandamizaji haki si uvunjaji wa katiba?
4. Utekaji, utesaji na uuaji...