Recent content by JJoh

  1. JJoh

    JamiiForums Tanzania Tupo Karne ya 21: Kwa Nini Mfumo wa Benki Ukikata Pesa Kimakosa, Mteja Ndiye Anayeumia?

    Hello wana JF, Bwana, mimi ni mteja wa muda mrefu wa hizi benki zetu, lakini kuna jambo nimekutana nalo hivi karibuni limenipa ukakasi sana. Najiuliza, tupo mwaka gani huu? Teknolojia imepiga hatua kiasi hiki, lakini bado mteja anaweza kukatwa pesa kimakosa na akahitaji kupitia mchakato mrefu...
  2. JJoh

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna bora na ya kisasa kupambana na janga la moto

    SEKTA: MAENDELEO NA TEKNOLOJIA Historia Fupi yakweli: Mnamo Sept 6 2017 saa 6 kasoro mchana, Mimi mwandishi nilipata janga la moto. Ilikuwa ni safari ya Dar Es Salam kwenda Arusha kwa basi la kampuni ya “LIM SAFARI’S” lilishika moto eneo la MANGA. Uhalisia moto ulianza mdogo sana lakini...
Back
Top Bottom