Habari,
Naomba kuuliza mtalaam anejua malori aina ya Daf FX 2019 na Man TGX 2018 26,500/26.460 BLS 6×2 MIDLIFT.
Kuhusu ubora wa hizi gari kiutendaji kazi pamoja na gharama za spea zake na je zinapatikana kwa urahisi?
Nataka kuanzisha kampuni ya kusafirisha mafuta njee ya nchi. Ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.