Ndo ivo mkuu,uchakachuzi lazima.cha kufanya ni kusahau kuhusu hilo la tra ili mambo mengine yaende.
Hakuna aliye zaliwa ili aje afanye kazi tra ni fursa zinajitokeza mtu anabahatika kupata nafasi na wengine ndo wanaforce kwa kujuana au kutoa chochote kitu.kikubwa ni kupeana updates za opp mpya...
Jaman jamaa wamemaliza kuita, mbona mnakuwa wabishi kuamini.Kuna mtu juzi j4 alienda kuwauliza akapewa hilo jibu.WE ARE DONE WITH THE EXERCISE OF CALLING SUCCESSFUL APPLICANTS. and 91 APPLICANTS HAVE BEEN CONTACTED.
Ila mtu akitwa ni kwamba imetokea bahati tu lable kuna kapost kalikuwa vacant na...
Kwa upande wangu sina tarifa kuhusu hilo kwani hata hao walioitwa barua zao hazionyeshi training itaisha lini.ila from past exprience kwa mfano wa mwaka jana walikaa 2 months.
Habar zenu wadau wa tra.Jana kuna mtu alienda kuliza kama wamemaliza kuita, akambiwa kuwa wamemaliza na wameita watu 91 kwa ass tax ofcrs
Kuna jamaa anafanya kazi pale nilimuliza kuhusu hii ishu akasema kuna baadhi ya vitengo vinaweza vikawa vinahitaji watu kwa hio usishangae ukisikia fulani...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.