Asante sana mkuu kwa ushauri wako. kwanza napenda kukupongeza sana kwa mada mbalimbali unazoziwasilisha humu. Labda nikukumbushe tu binadamu runatofautiana katika upeo wa kutoa au kuwasilisha mawazo yetu na pia ni haki kabisa mtu kutoa mawazo yake kikubwa tu asivunje sheria za nchi husika...
Ni hivi juzi tu Benchi la ufundi la Ngorongoro Heroes limewaita wachezaji wataotuwakilisha dhidi ya DR Congo kwenye Mechi za kufuzu Africa kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 20.
Nilishangazwa sana na baadhi ya wachezaji kutokuwepo kwenye kikosi hicho hasa Abdulnasry(Aspire),Daud...
Imekuwa Kasumba kwa makocha wa taifa stars kuchagua wachezaji wa timu ya Taifa kwa mazoea, hali hii inapunguza uzalendo wa kushabikia timu yetu ya taifa. Kila siku wadau wanajitokeza kuwapa ushauri ni jinsi gani tunaweza kuifikisha Taifa stars sehemu nzuri lakini ushauri wao haufanyiwi kazi...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.