Recent content by jiwe la msingi

  1. jiwe la msingi

    Mbeya kwanza ndio Mbeya city?

    Toka timu la mkoani kwako limefungwa last match naona hii comment unatoa kwa hasira
  2. jiwe la msingi

    Ofisi ya madini kahama mnatia aibu kwa kushindwa kujenga ukuta uliobomoka unaozunguka ofisi yenu

    Usiwalaumu. Yawezekana wanasubiri kikao cha kupanga bajeti ya huo ukuta. Transparency mkuu!!
  3. jiwe la msingi

    Natabiri miaka 50 ijayo watoto wengi hawatawapenda Mama zao. Upendo utarudi Kwa Baba

    Kwa trend ya connection hizi na video za utupu uko sahihi. Hv mtoto wa amber ruty kwa mfano akikua duhh afu akaona vile vijipande
  4. jiwe la msingi

    Kwanini vijana/watoto wengi waliotumikia Altareni Leo hii asilimia kubwa sio watu wa dini wala kusali

    Dah nimetumikia sana pale Mafinga parokiani aisee. Najihimu toka Kinyanambo A' ile ya zamani iliyokuwa hatari sana hadi parokiani mafinga saa kumi na moja asbh kuwahi kuwasha kigai na kukoleza moto. Mt. Dominic Savio alikuwa kichwani all the time. Speed ya church ilipungua nilivoenda sec ya kata...
  5. jiwe la msingi

    Inashangaza: Mvua zinanyesha sana lakini maji bado ni ya mgao!

    Kiufupi hukutakiwa kuleta nyuzi hii mapema hv. Lbda baada ya week moja na nusu. Mvua zimeanza hata week haijaisha bado ww waja kulalamika mkuu?
  6. jiwe la msingi

    Inashangaza: Mvua zinanyesha sana lakini maji bado ni ya mgao!

    Mvua mbili tatu hizi una uhakika zitakuwa zmejaza hivyo vyanzo vya maji? Nyuzi nyingine muwe mnahusisha hata mashavu kufikiri
Back
Top Bottom