Habari wadau,
Natumaini ni wazima, naombeni kuuliza kwa yeyote anayejua kuhusu hii njia ya kwenda, Ulaya kwa njia ya kanisa na baadae kujilipua na kubakia hukohuko ulaya, na mwishowe kupata vibali vya makazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.