Kuna tetesi na minong'ono huko kwenye korido za wachoraji katuni kuwa ifikapo 2025 watashiriki kampeni ya kutoiunga mkono CCM hasa nafasi ya Urais kwa sababu ya madhila makubwa wanayoyapitia chini ya serikali ya awamu ya 6
Baada ya kumkamata msanii Opptitus John Fwema, polisi wameendelea na...
1. Jeshi la Polisi limekuwa likiweka mkazo mdogo kwenye kupunguza uhalifu badala yake linatumia nguvu kubwa kwenye siasa
2. Jeshi la Polisi linatumia mabavu na ukatili mkubwa kwenye kutengeneza kesi mbalimbali za kubumba
3. PGO imekuwa ikipuuzwa kwenye utendaji wa polisi
4. Ajira za polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.