Recent content by Jirambe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kuzalisha cd

    Kariakoo wanazo milango 20 wanauza 600k
  2. J

    JamiiForums Tanzania Fursa Dodoma

    Yes mkuu sasa hizo ndo fursa kama wanaringa inabid utumie mwanya huo huo kupiga hela yaan ww uwe humble kwa customer wako
  3. J

    JamiiForums Tanzania Fursa Dodoma

    Karibu dodoma
  4. J

    JamiiForums Tanzania Fursa Dodoma

    Ndugu ukisema hivyo utashindwa kufanya biashara maana kila sehem changamoto hizo zipo..ni wewe tu jinsi gani utavyojipanga na ili ufanikiwe lazima uwe na multiple sources of income otherwise popote utaona pagumu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Fursa Dodoma

    Ni kweli maisha yapo juu sana...unajua kama rahis kutengeneza pesa kinachokwamisha wengi kuendelea ni nidham ya kuitunza hiyo pesa ili izunguke zaid kwenye biashara na sio kuitumia kwenye kitu ambacho hakiingiz pesa
  6. J

    JamiiForums Tanzania Fursa Dodoma

    Asante mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]
  7. J

    JamiiForums Tanzania Fursa Dodoma

    Habari wana JamiiForums, Nimehamia kikazi kutoka Dar sasa nipo Dodoma.Nina wiki ya pili sasa na zifuatazo ni chamgamoto ambazo ndio fursa za biashara Dodoma mjini.. 1.Kunyoa nywele sh 3000-fursa-ukifungua barbershop yako ya kawaida ukanyoa kwa 2000 utapiga hela coz sio wote wana afford bei...
Back
Top Bottom