Yaani account yangu siwezi kucoment na kuna sehemu siruhusiw kuandika chochote naambiwa account yangu iko pending lini nitaruhusiwa Sasa account isiwe pending nachokaa et
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapendwa nahitaji kufanya biashara ya samaki
Kutoka tanga to Moshi
Au mwanza to Moshi
Kwa wezangu ambao wameisha Fanya biashara hiyo naombeni.ushauri wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.