Jana majira ya mchana ziliibuka habari za kuvamiwa kwa Ofisi za JF Mikocheni.
Inasemekana wavamizi walikuwa wanamtafuta Ndg Melo.
Usiku wa Jana hiyo hiyo Mfanyabiashara mashuhuri Rostam Aziz alionekana akitolea maelezo baadhi ya mambo anayotajwa kuhusika nayo kwenye biashara zake na pia kundi...
Sasa kwa Mwandishi Mkongwe na ambaye tuna Dhani ni mweredi, kwa nini hakumhoji Rostam au kum Challenge katika maelezo yake kama wanavyofanya waandishi wengine tena wachanga kama akina Chief Odemba na Aloyce Nyanda??
Kwa Nini Todo alikuwa kama vile kilainishi katika maelezo ya Rostam?
Hayo yametoka wapi kwenye hoja ya msingi? Lissu yuko gerezani, kesi yake iko Mahakamani. Unataka wananchi wafanyeje? Waende kuvamia gereza wamtoe kwa nguvu? Wavamie Mahakamani wamatoe kwa nguvu?
Kelele za wananchi kuhusu kesi ya Lissu huzisikii? Unataka wafanyeje zaidi ya hapo? Hizi kauli zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.