natafuta kazi ili nipate pesa nimtolee yeye sadaka kama shukrani pia kwa yote anayotenda kwangu!! na kingine unatakiwa ujue unapoomba msaada lazima na ww uonyeshe juhudi.sio ukae tu!.
hahahahaha sina uhakika kama unaniambia mm au mtu mwingine..lakn kama ni mm nilisema siwezi kuendesha kwa sababu leseni yangu airuhusu namba nyeupe ni njano tu.kwahiyo kama ni hiace basi iwe namba ya njano..kuhusu maswala ya kula na kulala hayo ni mambo ya mwenyezi mungu tumuachie yeye
zina plate namba nyeupe .lakin mm wakat nafanya uber gari yangu ilikuwa namba ya njano.na pia wakati nafanya tours pia pale budget plate namba ilikuwa ya njano..nimesema hvyo kwa sababu leseni yangu airuhusu kuendesha namba nyeupe mkuu
HELLO THERE!!!! My name is James patrick mkwabi and i stay at masaki ..im 24 years old ..as a driver i am responsible for driving vehicles safely and timely to destinations...whilst at the same time giving any passengers or clients a helpful...courteous and professional customer service...i have...
ndugu yangu kumbe na ww ulipata heka heka za boss deo wa mikono speaker?? haha sasa katika madereva waliodumu pale mm niliongoza.lakini unataka kujua niliachaje kazi pale?? niliacha kazi katikati ya mataa ya pale las vegas casino.nikashuka nikamwacha aamini kilichotokea.uvumilivu ulinishinda
Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari.
Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.