Recent content by Jimmy2012

  1. Jimmy2012

    Kiwanja kinauzwa chanika, nusu heka kwa 6.8mil

    Asante kwa ushauri Excel ila ndio maana nimeweka wazi kuwa hakijapimwa ili kuepuka maswali ya ziada kuhusu kupimwa. Kimsingi kuna documents za awali za manunuzi ya kiwanja hiki kutoka serikali za mtaa, na mteja akipatikana mauziano pia yatafanyika serikali za mtaa kwaiyo mnunuzi atakuwa na...
  2. Jimmy2012

    Kiwanja kinauzwa chanika, nusu heka kwa 6.8mil

    kiwanja kizuri chenye ukubwa wa hatua 44 kwa 22 (wastani wa nusu heka) kinauzwa, kipo chanika kwa ngwale, wilaya ilala dsm, ni jirani na barabara kuu (ni mtaa wa pili unaofuata baada ya barabara). Bei yake ni milioni 6 na laki 8, maelewano yapo. Bado hakijapimwa. Mwenye kuhitaji kweli...
  3. Jimmy2012

    Eneo / kiwanja kinauzwa kisarawe

    Eneo/kiwanja kinauzwa, robo heka, panafaa kwa ujenzi wa nyumba ya kuishi, umeme na maji yapo jirani sana. Kipo kisarawe jirani kabisa na lutheran junior seminary. Bei ni 2.8m, hakuna udalali. Anayehitaji anitumie pm au simu 0767291455.
  4. Jimmy2012

    Natafuta hiace super custom, kipande nusu cha mbele

    Hello! Nahitaji kwa haraka HALF CUT ya kipande cha mbele cha hiace custom (super roof / dungu). Mwenye nacho ani-pm au tuwasiliane asap kwa 0713291455.
  5. Jimmy2012

    Msaada: voda wanakata salio kila nnapoweka vocha

    Jaribu kuandika neno ZIMA au ONDOA then tuma kwenye namba hiyo wanayokutumia sms baada ya kukukata pesa hiyo. Sometimes huwa inakubali, kama ikigoma wapigie call center, wkuna njia nyingine watafanya wao ili ku-deactpvate hiyo huduma.
  6. Jimmy2012

    Mwenye ujanja wa drivers za dell latitude e5530 pliz, help!

    Asante! island. Naitafuta then ntakupa mrejesho.
  7. Jimmy2012

    Mwenye ujanja wa drivers za dell latitude e5530 pliz, help!

    Asante! island. Naitafuta then ntakupa mrejesho
  8. Jimmy2012

    Mwenye ujanja wa drivers za dell latitude e5530 pliz, help!

    Thanks @ elmagnifico. Nije wapi, nakupataje. Mawasiliano pliz.
  9. Jimmy2012

    Mwenye ujanja wa drivers za dell latitude e5530 pliz, help!

    Asante Sana @ Waheed kwa ushauri wako ingawa njia nilishafanya ila sikufanikiwa, inanipa jibu kuwa no drivers found. Internet speed yangu ni ya wastani unless kama pia unaweza kunishauri ISP gani nitumie kwa speed nzuri zaidi lakini issue inabaki kuwa hiyo spidi ndogo au ya wastani ingenifanya...
  10. Jimmy2012

    Mwenye ujanja wa drivers za dell latitude e5530 pliz, help!

    Habari wadau! Ninatumia Laptop ya Dell Latitude E5530, 32Bit OS 4GB RAM. Wakati fulani ilikuwa na tatizo nikaamua kui-format Window yote na kuweka Window 7 Proff. Shida niliyonayo sasa baada ya ku-format ni kwamba laptop inashindwa ku-install baadhi ya programs na applications nyingine...
  11. Jimmy2012

    Line ya wakala mpesa inauzwa

    Hiyo sina mama ila naamini kuna wadau wengi wanazu humu ndani
  12. Jimmy2012

    Line ya wakala mpesa inauzwa

    Nipo Dar hapa hapa mjini. Napatikana maeneo ya jirani na Water Front au Ukonga Banana.
  13. Jimmy2012

    Line ya wakala mpesa inauzwa

    @ master eagle, line hii sio ya wizi, ni halali kabisa. Mimi niliipata ikiwa mpya kabisa na nimeitumia kwa miezi sita sasa, nimeamua kuiuza kwakuwa nimepata line nyingine yenye jina langu. Ondoa shaka juu ya hili kaka.
  14. Jimmy2012

    Line ya wakala mpesa inauzwa

    Nipo Dar hapa hapa mjini. Napatikana maeneo ya jirani na Water Front au Ukonga Banana.
  15. Jimmy2012

    Line ya wakala mpesa inauzwa

    Sijakuelewa ndugu Maberere. Umemaanisha una 130,000/= au Elfu 30 tu?
Back
Top Bottom